Luke 17:6

6 aBwana akawajibu, “Kama mkiwa na imani ndogo kama punje ya haradali, mngeweza kuuambia mti huu wa mkuyu, ‘Ng’oka ukaote baharini,’ nao ungewatii.

Wajibu Wa Mtumishi

Copyright information for SwhKC